Bofya link hii kucheki game.
Ingia>>> All Broadcasts - Sport Streams for each
TUMIA CHROME...
Usisahau kujoin kucheki mechi nyingi zaidi kiganjani..
Join>> LIVE MATCHES ONLINE!!
Huyu conte ni fala sanaukishamuweka bakayoko na kante kati hakuna kitu kinaenda fanyika zaidi ya kudefend tuu....weka kante na drinkwater/fabrigas au bakayoko na drinkwater/fabrigas....mbele weka stariker sio Hazard,weka Giroud pembeni Willian/Pedro na Hazard
Maombi yako yametimia[emoji16] [emoji16]Naomba Chelsea afungwe tu kwani akishinda ananishusha Mimi Liverpool FC hadi nafasi ya Nne ambayo alikuwepo Chelsea kabla ya mechi yake hii ya leo.
Maombi yako yametimia[emoji16] [emoji16]
Kafundishe ww sasaNaona Antonio Conte uwezo umefika mwisho
Conte anawakati mgumu sana,,Waswahili si huwa mnasema kwamba Dua la Kuku halimpati Mwewe sasa imekuaje Mimi yangu imekubalika? Asante sana Watford.