Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Yanga atacheza na El Merreikh katika uwanja wa Kigali Pele ambao Zamani ulikuwa ukifahamika zaidi kama uwanja wa Nyamirambo.

Huu ni uwanja unaotumiwa zaidi na klabu ya Rayon na APR kwa nyakati kadhaa!

Awali klabu ya El Merreikh ilifikiria kuhamishia mechi yake Morocco ili kupata wafuasi na kukwepa nguvu ya Yanga kuwa na mashabiki wengi Rwanda.

Nikuambie tu, kama kuna kitu Yanga wataenjoy kwa sasa ni kucheza nchini Rwanda na wana hakika ya kupata mashabiki wengi wa pale pale Rwanda na hata kusafiri na kuiunga mkono timu yao ni rahisi sana.

Mchezo huo utachezwa tarehe 16/09/2023
 
Yanga waweke utaratibu mzur mapema na gharama ili kama Kuna watu wataweza kwenda waende
 
Yanga atacheza na El Merreikh katika uwanja wa Kigali Pele ambao Zamani ulikuwa ukifahamika zaidi kama uwanja wa Nyamirambo.

Huu ni uwanja unaotumiwa zaidi na klabu ya Rayon na APR kwa nyakati kadhaa!

Awali klabu ya El Merreikh ilifikiria kuhamishia mechi yake Morocco ili kupata wafuasi na kukwepa nguvu ya Yanga kuwa na mashabiki wengi Rwanda.

Nikuambie tu... Kama kuna kitu Yanga wataenjoy kwa sasa ni kucheza nchini Rwanda na wana hakika ya kupata mashabiki wengi wa pale pale Rwanda na hata kusafiri na kuiunga mkono timu yao ni rahisi sana.

Mchezo huo utachezwa tarehe 16/09/2023
Kila laheri Utopolo
 
Back
Top Bottom