Mchezo wa karata

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Hivi jamani kwenye mchezo Wa karata kuna kadi moja inaitwa mavi,hivi ile ndo jina lake au sisi tu,MTU anaejua aniambie,utasikia wachezaji wanasema toa mavi nilambe,au lamba mavi,je haina jina lingine zuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huitwa mavi ya mbuzi/ karanga

corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Bao la kete...drafti na karata .hii michezo ina maneno ya kihuni sana.
 
Hata kama sio zetu,kwann tusiite majina yetu tunayoburudishwa nayo?kama mavi...
hahahaha sasa wewe unamalizia tena kwa kutaja jina ambalo hatutaki kulisikia- acha bwana kutufanyia hvyo.

jina hilo lina-ukakasi sana bora libadilishwe ila wabongo sijui tu kwanini vitu vyenye uelekeo wa kushoto kushoto ndio mnavipenda.

mimi nilipanga maeneo ya kunduchi na nimeishi huko miezi minne ila kilichoniamisha huko ni hilo jina,kwa kwei halikunibariki hata kidogo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…