Mchezo wa kutaja majina ya wacheza mpira(Wacheza Soka)

Mi ninachoelewa ni mchezaji, na aliwahi kuchezea Man U kwa misimu isiyopungua kumi, nadhani we umemfahamu hivi sasa akiwa kocha. Haijalishi kuwa ni mchezaji wa zamani au wa sasa. FORTALEZA tusaidie hapo
Kwa nilivyoelewa uzi hujakosea, ndo maana kuna watu hapo juu wamemtaja Zizou na Maladona ambao kwa sasa ni makocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…