Stoke City 1 Arsenal OAisee!! Hii ndio shida ya hii timu.
zipi hizo kiongozi sisi hatutaki mbwembwe tunataka magoli tu.Mbona hizo mbwembwe ckuziona game ya Madrid?
[emoji1][emoji1]Mapenzi ni upofuzipi hizo kiongozi sisi hatutaki mbwembwe tunataka magoli tu.
walikua na bahati sana beki yetu mzee wa kuzuia Makenikia Yasiende nje Baily hakuwepo.
Goli la Casemiro offside ya wazi kabisa,yamepita hayo lets talk about today results.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeipendaaaStoke City 1 Arsenal O
kesho Totenham anachapa mtu bakora
sasa sijui wewe upo upande gani blaza,ukishinda shangilia ukifungwa tulia tuliii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimekuelewa mkuuNipo kijiwe Kimoja cha kuangalia Mpira,Man utd akipiga mtu Goli 4 mashabiki wengi hasa wa Arsenal&Chelsea walikua wakisema Westham ni Wahenga Kisa kina Zabaleta,Joe hart ndio maana wakala Viboko Vinne Safi.
Leo tena kuna wengine wamekula bakora Nne bila majibu sijui nao ni wahenga??
Hatimaye Baily afunga goli lake la Kwanza akiwa na Man utd.
Kwanini Mourihno leo hakua akishangilia??
Kama Vipi tupewe Kombe letu tu..
Sent using Jamii Forums mobile app