Shukrani, Je ni kwa sababu gani hasa?Hapana mkuu zanzibar hawaandai tna mchezo huu
Madereva waliowai kutingisha kuna kina tosky hans wa arusha,collins higgins wa morogoro,gerald miller,kirit pandya,jayant shah,mzee lesirwa,lukumayi,humprey soka,hussein jettex,omar bakhressa,ahmed huwel,balbou,khalid bakhressa( r.i.p),navraj hans,randeep birdi,amarjit dhillon,pano,baba dee,twalib etc
Pandya...na kuna singasinga nmewasahau jina lao
mbona naona washindi ni waarabu arabu tu,ina maana hakuna wabantu wenzetu walio tikisa? Nilijua labda ntawakuta akina Majuto,Mashaka,Juma,Shabani,Matonya,Kishoka na wengne kama hao.
mbona naona washindi ni waarabu arabu tu,ina maana hakuna wabantu wenzetu walio tikisa? Nilijua labda ntawakuta akina Majuto,Mashaka,Juma,Shabani,Matonya,Kishoka na wengne kama hao.
Na pia kitu kingine mkuu ukiangalia hata trend ya maisha na umiliki wa magari bongo miaka kumi iliyopita na ss utaona tofauti. Ss hivi watu wengi zaidi haswa vijana tunamiliki magari yetu, haswa hizo za mashindano kuanzia lexus, baru baru,mitsubish na mazda kwahiyo basi saiv vijana wengi zaid wanajihusisha si km zamani wenye magari walikua matajiri au mtu aliyetoka ulaya na waarabu ndio maana walidominate
Watu weusi wapo na nmewataja kama kina mzee lesirwa,humprey soka,baba dee,lukumayi,david mosha,frank taylor
Hivi baba dee bado anashiriki? Nilipenda sana hii kitu na napenda hadi leo. Sema majukumu yamenibana ila nitarudi tu.
Halafu wapeni elimu watazamaji jamani huko njiani kuepuka maajali! Hilo ni tatizo kubwa sana hapa kwetu.