Asante mkuu kwa ilmu ya bure !!
na mimi naomba niulize tuswali twangu kadhaa
1.Kwa nini gari hizi rally wanapenda kutumia SUBARU na EVO zaidi NA si TOYOTA ?
2.Kwa nini gari hizi mara nyingi ni manual Transmission ?
Patrick Njiru huyu alikua dereva wa kenyaNamkumbuka sna patrick wanjiru na pia kulikuwa na mtoto wa moi alikuwa anaitwa david torotoich arap moi
nadhani singasinga uliemsahau alikua ni Davinder Sahota maarufu kama Pagal SinghPandya...na kuna singasinga nmewasahau jina lao
pengine unamzungumzai Salvatory Mcharo "wana wa mndenyi" akiwa na subaru impreza GC 8Najua utakua unatokea kaskazini, wape hi wana SUKA....kuna jamaa mmoja anajiita mtoto wa migombani( monoo wa mndenyi...km sijakosea.) Msalimu