Sorry, lazima uelewe kuna acting na vitu vyengine sio acting ni performing.Hujawahi kutazama movie?. Nini damu mbona watu wanapigwa mabomu na risasi hadi wanakufa na kuzikwa??. Hizo ni TV shows tu kama movies mzee
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Dah!..kweli wazungu wametuzidi sana yani mtu anaigiza kavunjika shingo anakaa miezi na hogo mradi anaigiza mieleka, ama wale wengine wanaofia ulingoni sijui ndo wanakua wamemaliza script zao!!..ππππ
Kwa hyo na wale wa pornography ni wa maigizo
Mkuu kwenye movies kuna baadhi ya actors wamefariki kweli ,Hivi maigizo hadi kutoana damu live, au hujawahi kuangalia WWE NO MERCY?!!
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Wanafanya rehasal kwanza so matokeo yote ni ya kupangwa! Kuna script kabisa inaandikwa kama movie vile na hizo script ndio.wanazozifuata kwa kuongea na matukio yote. Script huaribika tu pale mtu anapoumia bahati.mbaya so inabidi waandike upya story itakavyokuwa. But wanachofanya pale jukwaani ni real ni physical fight ila ni.professinals so wajua what wafanye mtu asidhurike zaidi but at the end of the day matokeo yanakuwa yameshapanga.Mkuu hata mimi nina utata kama wako..tusubirie majibu zaidi
Sometimes anakuwa ameumia.kweli but sometimes inakuwa ndani ya script kwamba labda aumie ili wamuandalie story nyingine.Dah!..kweli wazungu wametuzidi sana yani mtu anaigiza kavunjika shingo anakaa miezi na hogo mradi anaigiza mieleka, ama wale wengine wanaofia ulingoni sijui ndo wanakua wamemaliza script zao!!..ππππ
Hata kwenye wresling wanakufa bahati.mbaya mwaka jana rey mysterio alimuua mwenzake kwneye mechi huko mexico na aliomba msamaha sababu ile 619 yake iko.legal.i aruhusiwa sema jamaa labda ndio ilikiwa siku yakeMkuu kwenye movies kuna baadhi ya actors wamefariki kweli ,
Kwa hiyo damu kwenye maigizo wala c ajabu.
Halafu hiyo sent from Samsung smart tv yuzing jamiiforam kiboko
USA babe![emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe jamaa wanaigiza tu hawa, me nilijua wanapigana kweli aseh!!...washanitoa hamu kuwaangalia tena!As in other professional wrestling promotions, WWE shows are not legitimate contests, but purely entertainment-based , featuring storyline -driven, scripted , and choreographed matches, though they often include moves that can put performers at risk of injury if not performed correctly. This was first publicly acknowledged by WWE's owner Vince McMahon in 1989 to avoid taxes from athletic commissions.
asante kwa ufafanuziWanafanya rehasal kwanza so matokeo yote ni ya kupangwa! Kuna script kabisa inaandikwa kama movie vile na hizo script ndio.wanazozifuata kwa kuongea na matukio yote. Script huaribika tu pale mtu anapoumia bahati.mbaya so inabidi waandike upya story itakavyokuwa. But wanachofanya pale jukwaani ni real ni physical fight ila ni.professinals so wajua what wafanye mtu asidhurike zaidi but at the end of the day matokeo yanakuwa yameshapanga.
Ni kama unavyoangalia movie its not real lakini unaenjoy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu, nisahau majina kidogo.Mkuu ulimaanisha Jeff Hardy na Mart Hardy? Hawa nadhani ni twins..
Hapo ndo mm napopataga ukakasi wa kuelewaHivi maigizo hadi kutoana damu live, au hujawahi kuangalia WWE NO MERCY?!!
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Kwani ninyi hamkuwahi kuiangalia ile mieleka ya akina
Power Bernado
Power Mwanza
Power Vuru Mroma
Power Chaka, nk.
Walivyokuwa wanacheza mieleka wakati ule ?
Umenikumbusha mbali sana ndugu
Sanaa ni pana sana, kuna maigizo, tamthilia, ngonjera, sasa mieleka sijui niiweke wapi hapo lakini sio kwenye maigizo.