mchezo wa mpira ndiyo usiokuwa na ubaguzi tu duniani

mchezo wa mpira ndiyo usiokuwa na ubaguzi tu duniani

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Mchezo wa mpira migu ni mchezo pekee dunia usiokuwa na udini wala ukabila wala unaguzi warangi'

Na moody kabwe'''''''''''''''''''

Wadau wa mchezo wa mpira wa Miguu duniani huwa tunakutana pamoja katika viwanja vya mpira mbalimbalu,

mchezo huu kama nilivyoanza na kichwa cha habari hapo juu ndiyo mchezo pekee duniani usiokuwa na ubaguzi wa dini' Rangi' kabila au lugha' mchezo huu lugha yake ni moja tu mpira'


lakini pia mchezo huu wa mpira wa miguu kwa hapa kwetu umetufanya tumekuwa na timu inayopendwa na kutazamwa zaidi na kukusanya kila aina ya watu tofauti, Timu hiyo si nyingine ni Yanga africa sport club iliyoanzishwa mwa 1935 timu hii kila miezi na miaka imekuwa ikijikusanyia wanachama na mashabiki kila kukicha

Na kutengeneza matawi kibao ya kuisaidia timu kwa njia rahisi sana.
lakini pia Timu hii ya Yanga mwaka 2015/4/19 saa 9:15 jioni Kupitia wanachama wake walijikusanya mbali na matawi yao wanayotoka na kuunda umoja wao kwa kusaidiana katika shida na raha umoja huo walioupa jina la Group la YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU. ambao kwa lengo lao kubwa ni kuisaidia timu na wao kujisidia katika shida na raha yapo mambo mbalimbali wameyafanya

mfano kuwa karibu na wachezaji wao hupenda kujua kila mchezaji mwenye matatizo ili wamsaidie waliweza kununua deli lenye dhamani ya laki nane la kuwekea maji la kisasa na pia wako katika mipango muzito sana ya kuisaidia timu yao lakini pia group hili la YANGA WHATSAPP SUPPIRTERS MAKAO MKUU

huwa hupenda kujua matatizo ya wanachama wao kila mara na hata mwanachama anaokuwa na tatizo huonesha umoja wa karibu mpaka matatizo yaishe kwa mwenzao

nimejaribu kuwauliza baazi ya wnachama.wa group hilo kupenda kujua matatizo yanayowasibu ama changamoto kiukweli kila mwanachama alisema changamoto hazikosekani ila ni mambo madogo ambayo wanayamaliza kama familia moja hakika mchezo wa mpira ni wakupongezwa



kwani hujenga familia nyingine ya nje ya familia yako unakotoka na kukukutanisha na familia ya watu wengine.kama watu hawa waliokutanishwa na Yanga Africa sport kilabu

maarufu Yanga Whatsapp Supporters makao makuu group hili linaongozwa na mwana mama

Shekha mohamedi akiwa yeye ndiye mwenyekiti

akifwatiwa na katibu wake Evody peter

.'''''''''Ndugu zangu wapenda mchezo wa mpira wa miguu mchezo huu pia ni faida kubwa sana dunia hasa kiukweli kwa kuunganisha familia tofauti na kuwa kitu kimoja

kwa kumbukumbu zangu Ivory Costr ilikumbwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe ila Didie Drogba kupitia mchezo wa mpira wa miguu aliweza kumaliza viti ile kwa kuwaunganisha wananchi kuwa kitu kimoja


Yanga Africa inatakiwa itumie hazina hii iliokuwa nayo kujiendeleza kufika mbele zaidi kimaendeleo

na pia si vibaya na matawi mengine yakaiga kinachofanywa na wanachama hawa''''''''''''''''

kwa kujikwamua kiuchumi zaidi sipati picha kama nguvu anayotumia msemaji wao wa yanga Jerry murro kubishana na msemaji wa simba haji manara kama angeitumia.kuwahamasisha wanachama wsiolipa ada wakalipe na wale mashabiki wasiokuwa na kadi wakachukue kadi hakika kilabu hii ingekuwa na mapato mengi sana'


lakini pia kama kilabu hii ingeweza kukaa karibu na matawi yao ambayo yanajuana na watu wenye uchumi wa kipato cha juu hakika kilabu hii ingekuwa na hata na viwanja 10 nchi hii

bila kusahau makundi ya ushangiliaji haya naomba niyaorozeshe kama ifwatavyo

1)YANGA BOMBA SUPPOTERS MAKAO MAKUU

2) YANGA BOMBA TAWI LA UHURU

3) YANGA BOMBA SUPPOTERS

4) YANGA WHATSAPP SUPPORTES MAKAO MAKUU

5) YANGA WHATSAPP SUPPORTERS GROUP

6) YANGA FECBOOK FAMILL

YANGA FECBOOK FANS

7) YANGA FECBOOK COMUNITY

8) YANGA BOMBA TAWI LA MAZESE

9) YANGA TEMINO

10) WAKALI WA TEMBONI

11) WAKALI WA TANDALE

12) TAWI LA MAZESE WAKALI.WA KATIBA

13) KEKO UKOMBOZI

14) YANGA WHATSAPP RAHA
n.k

haya ni baazi ya magroup makubwa sana yenye ushawishi mkubwa kwa wanachama wa yanga kama uongozi wa yanga ungeyatumia haya kwa kina kupitia viongozi wao hakika kilabu hii ingefika mbali sana wakiongozwa na msemaji wao mhamasishaji jerry murro


ndugu wanayanga na wapenda soka wote wayanga africa hatuna budi kuwashukuru wote walioleta mchezo wa pira wa miguu Dunia na hapa Tanzania kwetu na kuwa na kilabu Tunayoipenda ya YANGA AFRICA

Hongera mpira wa miguu kwa kutuunganisha dini na makabila na jinsia tofauti na kuondoa ubaguzi wa rangi na kutuunganisha pamoja ila kwa Tanzania hutumiki vizuri unatumika sivyo

Na Moody kabwe Comrad
mfwasi wa mpira wa miguu
 
Ubaguzi ni nini?
Hata mpira una ubaguzi kwa maana ya Ubaguzi!! Hujasikia Mashabiki wa Chelsea walimsukuma nje ya Treni mtu mwenye asili ya Africa Uingereza?
Kama ni mwendaji wa Mpirani utajua kuwa ubaguzi upo mkubwa tu!! Shabiki wa timu moja akijichanganya akakaa kwny Jukwaa lingine hushushiwa kipondo kwa ubaguzi tu!!!
Akina Samwel Etoo wamebaguliwa vya kutosha to Viwanjani na Mwingine mpaka alirushiwa ndizi.
 
duh kumbe...!! vipi na ule wa kwichi kwichi kwichi na wenyewe unaubaguzi...?
 
Ubaguzi ni nini?
Hata mpira una ubaguzi kwa maana ya Ubaguzi!! Hujasikia Mashabiki wa Chelsea walimsukuma nje ya Treni mtu mwenye asili ya Africa Uingereza?
Kama ni mwendaji wa Mpirani utajua kuwa ubaguzi upo mkubwa tu!! Shabiki wa timu moja akijichanganya akakaa kwny Jukwaa lingine hushushiwa kipondo kwa ubaguzi tu!!!
Akina Samwel Etoo wamebaguliwa vya kutosha to Viwanjani na Mwingine mpaka alirushiwa ndizi.
pohamba:
ishu ni kwamba haupo kwakuwa unakemewa ila ukienda uwanjani wanangalia wote mpira na tukio la ubaguzi likitokea hukemewa na hatua huchukuliwa haraka ila sifa ya mzungu htangazi mabaya yake hata siku moja azabu zikuchukuliwa ni vigumu kujua
 
Akikusikia Kevin Prince Boateng utachukia lazima
 
Back
Top Bottom