Exaud J. Makyao JF-Expert Member Joined Nov 30, 2008 Posts 1,518 Reaction score 24 Sep 14, 2009 #1 Wana michezo mbali mbali, Hivi mchezo wa ngumi ni wa kibinadamu kweli? Naona kuwa lengo la mabondia wawapo ulingoni ni kuhatarisha maisha ya wenzao. Mbona sioni kama mchezo huu ni wa kibinadamu? Damu humwagika mara nyingi. Mwasemaje wadau?
Wana michezo mbali mbali, Hivi mchezo wa ngumi ni wa kibinadamu kweli? Naona kuwa lengo la mabondia wawapo ulingoni ni kuhatarisha maisha ya wenzao. Mbona sioni kama mchezo huu ni wa kibinadamu? Damu humwagika mara nyingi. Mwasemaje wadau?