Habari yako mwanaJF, natumai umzima.
Napenda tujikumbushe kwenye riadha, kwani Watanzania wengi tumepuuzia huu mchezo na kuwaachia majirani zetu Kenya. Ninapenda tuwekeze pia na hapa, kwa sababu Wanariadha tupo wengi. Hata mimi pia sema nipo mbali kijijini huku, naombeni mtuwezeshe kiujumla, msaada wenu unahitajika.
Asante sana kwa kusoma uzi huu.
Shukrani..