realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 138
Umejuaje kiongozDakika 22 bila bila
Kwenye redio ya Lubumbashi wanatangaza kilingalaUmejuaje kiongoz
Livescore inaonyesha leo kuna mechi kati ya Enyimba na Memolodi sundowner 2330 hoursDakika 22 bila bila
Afu kuna mchezaji wa Yanga anaitwa V. Chikupe amepewa red cardNa bado.
Ingia sehemu iliondakwa Africa utaona mechi zoteLivescore inaonyesha leo kuna mechi kati ya Enyimba na Memolodi sundowner 2330 hours
Abood fm wanatangaza.Mpaka sasa hatujui nn kinaendelea
Shukrani, hawa ni wazalendoAbood fm wanatangaza.
Na mwakani tunawawakilisha tenaWatapigwa 7-0