Mchezo wa Shirikisho kati ya TP Mazembe Vs Yanga

I hope tumejifunza vya kutosha msimu ujao tutakuwa na uzoefu wa kutosha
 
Kama kawaida kujipa matumaini
Wachezaji na benchi la ufundi wamepata uzoefu wa kutosha ambao ni muhimu sana kwenye haya mashindano .Timu imecheza mechi za kimataifa si chini ya 10 (home &) away Misri,Rwanda Angola,Ghana,Congo
 
Wachezaji na benchi la ufundi wamepata uzoefu wa kutosha ambao ni muhimu sana kwenye haya mashindano .Timu imecheza mechi za kimataifa si chini ya 10 (home &) away Misri,Rwanda Angola,Ghana,Congo
So what??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…