Mchezo wa soka la vilabu wahamia Tzn,AS VITA yalala 2-0 kwa Simba Sports Club,Gormahia kesho mtachomoka?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Simba ya Tzn imeichapa AS VITA ya DRC Congo 2-1 katika mtanange wa kusisimua na Soka maridadi
Vita wameonja ukali wa makucha ya Simba na kutinga hatua ya robo fainali kuiwakilisha nchi na Kanda nzima ya EAC
Tafadhar kesho Gormahia msitie aibu EAC,heko Simba na Soka la Tzn
 
C
Congratulations to Simba SC ... must say that was a huge effort !!!
 
Gor wapo ligi ndogo, Simba tupo champions league tunaiwakilisha E.A. Tunaogela mapesa na wenzetu kina Mazembe View attachment 1047382

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa twende polepole! Simba SC kwa kuingia robo fainali wanapata USD650.000.00?! Au CAF wamekosea, that is about Tshs.1.5 billion au siyo!? Loo hiki kitita cha nguvu na cha kutia moyo! Halafu na TFF wanapatia hapo hapo! Kazi kweli kweli. All the best Simba SC, wakati tukisubiri hizo draws za robo fainali hapo 20th March 2019.
 
Mfumo wa JF utakua umenizingua, nilitaka kusema jinsi mashabiki wa Simba wamekua ovyoo kwamba nimeona wanavyokejeli wa Yanga ilhali hawa hawa wa Yanga jana walikua wazalendo na kushabikia Simba.
Hamna lolote.. una tetea vyura wenzako [emoji2]. Jana nilikua uwanjani nilikaa jukwaa la Yanga, mliungana na wakongo mkaanza kukata mauno! Matokeo yake tukawajaza mimba.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…