Mchezo wa soka si suala la Muungano?

Mchezo wa soka si suala la Muungano?

Kwani mechi ikichezwa huko kinapungua nini? By the way uwanja wa Amaan ni mzuri kuliko huo wa Babati. Hoja ya wapingaji ni ipi?
 
Kuna sehemu nimesoma Zitto anasema soka si suala la muungano hivyo finali ya CRDB kuchezwa huko si sahihi. Nini maoni yako mdau wa soka na muungano!
Yuko sahihi hata Kanuni zetu za mpira zinasema, shindano lolote linalofanyika Bara haliwezi kufanyika nje ya mipaka hiyo,ndiyo maana Simba walikataliwa kwenda kucheza mechi za ligi Aman complex
 
Je haiwezi kuwa kwa sababu mdhamini mkuu yupo huko pia?!
 
Mechi zote kuanzia ngazi za awali hakuna hata mechi moja imepelekwa zanzibar, mechi zote zaidi ya 60 kuanzia ngazi ya awali zote zimepigwa hapa hapa bongo. Mechi hiyo inatakiwa ipigwe pale pale manyara na sio Zanzibar
 
Lakini mdhamini mkuu ana matawi Zanzibar pia...huenda ikawa ndo sababu?!
 
Kwani mechi ikichezwa huko kinapungua nini? By the way uwanja wa Amaan ni mzuri kuliko huo wa Babati. Hoja ya wapingaji ni ipi?
Ina-set precedent mbaya ya uvurugani wa kanuni kwa hiyo next time mtu anaweza kupeleka mashindano Juba. TFF wasikubaliwe kujiamulia mambo yao bila kanuni
 
Lakini mdhamini mkuu ana matawi Zanzibar pia...huenda ikawa ndo sababu?!
Kwa hiyo mdhamini mkuu akiwa na shangazi yake Somalia na mtoto wa shangazi ni mpenzi wa mojawapo ya timu tutapeleka mechi huko Somalia? By the way kanuni zinasemaje?
 
Back
Top Bottom