Mchezo wa soka unaongozwa na kanuni sio mihemko ya watu

Kama ww ni muumini wa kanuni.Kuvunja hizo kanuni ulizosema ndo kanuni zinakuelekeza kuishia mitini?
 
Kila mara nimesema humu kuwa mpira wa Tanzania umejaa uhuni na upangaji matokeo miaka ya hivi karibuni, hasa Yanga na watoto wake.
 
So what? Inahalalisha kilichotokea?
Yanga amehusikaje hapo??
Aliyezuiwa ni meneja wa uwanja ambaye kimsingi yupo chini ya kamishna wa mchezo, kamishna yupo chini ya bodi ya ligi ambayo inasimamiwa na Tff, Yanga wapo salama kwenye hili.

Yanga imehusishwa kwa sababu ya mabaunsa lakini hakukuwa na kiongozi yeyote wa Yanga aliyekuwepo na hao mabaunsa tuna uhakika gani kama ni wa Yanga

Suala la kwenda na wazee na mbuzi hata limekaaje?? Lina ukweli??
 
Hakuna mahali nimelinganisha ligi na hizo unazoita za wenzetu.

Acha mazoea kananuni zipo wazi mbona, au kuna kanuni za kucheza Dabi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…