Mchezo wa Ureno na Ghana kuongezewa dakika kumi kuna nini kinatafutwa?

Mchezo wa Ureno na Ghana kuongezewa dakika kumi kuna nini kinatafutwa?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
1669312695831.png
 
Mashabiki wa uto akili zenu huwa mnaweka wapi?

Hukuona mechi imeongezwa dakika 13?

Natamani hii sheria ije huku pia maana kuna wajinga wanafaidika na kujiangusha angusha ili mechi ichezwe dakika pungufu ya 90
Utopolo hao baada ya kupigwa goli la toboo na okra
 
Kombe hili la Dunia kila match inaongezwa takriban Dakika kumi kufidia muda uliopotea kwenye substitution,matibabu nk. Match ya Wales zimeongezwa almost dakika 11.
 
In all fairness, that penalty didn't exist and it completely changed the landscape of the game when Ronaldo converted it and even the third Portugal goal was scored from an offside position.

It seems the US referee was not content to see the African side prevailing in that match. He is very hopeless as a referee.
 
Badala mcheze mpira mnakaa na kuangalia lawama.afika itolewe
 
Kombe hili la Dunia kila match inaongezwa takriban Dakika kumi kufidia muda uliopotea kwenye substitution,matibabu nk. Match ya Wales zimeongezwa almost dakika 11.
Sivyo hivyo tu hata muda wa Timu kushangilia kupitiliza unakuwa recorded then unafidiwa. Mkuu wa Marefa wa FIFA Collina alitangaza hivyo kabla ya Mechi za Kombe la Dunia halijaanza. Wenye tabia ya kujiangusha waendelee tu
 
Kiukweli nafurahia sana hii, timu kupoteza muda ni ujinga sana, natamani hata bongo pia ipitishwe hii kitu.
 
Back
Top Bottom