Yanga wasiende Misri watatia aibuToa maoni yako nini kifanyike.
Hili ndio kosa linalofanyika hata kwa waandishi wa habari na magazeti,na watangazaji wa TV,hawataji jina ya hizi timu za nchi za kiarabu ,wala nchi zao,wanasema waarabu,wakati huko kwa waarabu kuna nchi nyingi na timu nyingi tofauti tofauti.Waarabu ndiyo timu gani?
Kabisa mkuu. Kuna Morocco, Algeria, Libya, Misri, Tunisia. Wote hao ni waarabu wa nchi tofauti.Hili ndio kosa linalofanyika hata kwa waandishi wa habari na magazeti,na watangazaji wa TV,hawataji jina ya hizi timu za nchi za kiarabu ,wala nchi zao,wanasema waarabu,wakati huko kwa waarabu kuna nchi nyingi na timu nyingi tofauti tofauti.
Aliye sama waarabu hawachomoki hayuko hata kwenye benchi la ufundi la Yanga ni mhuni fulani asiyejua chochote kuhusu mpira ni mwanasiasa tuu huyo Murro mpira hata ukiingia ndani kwa bahati mbaya unavunja kila kitu asweze hata kuutuliza labda uwe na mkiaa!Jana nimebahatika kuuona mchezo wa Yanga na Waarabu kupitia luninga. Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa kweli Yanga wanatakiwa wakaze buti vinginevyo wataambulia patupu. Jana wale Waarabu walitawala uwanja mzima na walikuwa wananacheza kama wanavyotaka. Pasi za Yanga hazikuwa maakini kabisa. Kwa siku hizi zilizobaki mfanye masahihisho makubwa. Lugha ya kuwa Waarabu hawachomoki ilikuwa ni danganya toto.
Mkuu hongera kwa kusema ukweli kuwa Yanga ni taasisi ya serikali ya CCM na ndo sababu mafanikio yake ni ya ndani ya nchi tu, tena kiubabe kama CCM yenyewe.ni kweli, lakini yanga wamejitahidi sana kimchezo kuliko huko siku za nyuma, tunaamini kwa serikali hii ya magufuli taasisi za kiserikali zitafanya vyema, serikali imara hufanya nchi iwe imara katika sekta zote, hongereni yanga
Mkuu,Jana nimebahatika kuuona mchezo wa Yanga na Waarabu kupitia luninga. Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa kweli Yanga wanatakiwa wakaze buti vinginevyo wataambulia patupu. Jana wale Waarabu walitawala uwanja mzima na walikuwa wananacheza kama wanavyotaka. Pasi za Yanga hazikuwa maakini kabisa. Kwa siku hizi zilizobaki mfanye masahihisho makubwa. Lugha ya kuwa Waarabu hawachomoki ilikuwa ni danganya toto.
kule pemba wanakoenda kujifua , nilihabarishwa ya kuwa wana -CUF woote ambao ni wapenzi wa yanga wameikimbia timu hiyo eti sababu sare zao ni za ccm,Mkuu hongera kwa kusema ukweli kuwa Yanga ni taasisi ya serikali ya CCM na ndo sababu mafanikio yake ni ya ndani ya nchi tu, tena kiubabe kama CCM yenyewe.
Mkuu hongera kwa kusema ukweli kuwa Yanga ni taasisi ya serikali ya CCM na ndo sababu mafanikio yake ni ya ndani ya nchi tu, tena kiubabe kama CCM yenyewe.