Mchezo wa Yanga naTownship Rollers Kumpaisha au Kumshusha Zahera

Hii vita dhidi ya Zahera ni mkakati wa watu maalum, Mechi za majaribio na za mwanzo
kabisa wa msimu haziwezi kutupeleka huko, Ndio kwanza timu anaisuka lakini tunahitaji
matokeo mazuri ya Harak, Kwanini hatujifunzi kwa Liverpool?
Ninyi amkeni, mnatapelewa na Zahera
 
zahera ni bonge la kocha huwez mlinganisha na uchebe .zahera angekuwa na timu kama simba mambo yangekuwa moto sana
Zahera uwezo wake ndio ule ule Kama umemsoma awezi akabadilika awezi akajenga timu itayokua inacheza mpira wa kueleweka ila timu ya kubahatisha kushinda goli moja moja la ajabu uwezo huo anao....ndomana kwa mbinu za zahera kule Botswana kushinda ni ngumu ile angekua kaahinda Taifa kule angeweza kulinda ushindi
 
Yanga ina wadhamini wangapi ambao ni wengi kuliko timu zote?acha ndoto mkuu nitajie wadhamini hao tuone.
Taifa gas,afya water,gsm na sport pesa bado mabakuli mnayotembeza kila kukicha!!
 
Umesahau marefa hapo kwenye list ya anaowakashifu
 
Hilo goli la mapema watalifungaje???

Hakuna timu ya kufunga goli hapo!

Hata la offside hawatapata.
 
Yanga na rollers ni tarehe ngapi na saa ngapi za bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…