The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Zimebaki siku 9 tu weka mpunga kutakua na matutaUshindi ni mgumu sana siku hizi. Hapo weka Over 2.5 au beti Kona tu
Unadhani ni Samia au Rutto? au ni CCM?Trump win & over 50%
Ko tupite na kamala?Unadhani ni Samia au Rutto? au ni CCM?
Umempa nani sasa πMbona kitambo Sana π
π€£π€£π€£ DahZimebaki siku 9 tu weka mpunga kutakua na matuta
π€£π€£ Then baada ya matuta nani atashinda gameZimebaki siku 9 tu weka mpunga kutakua na matuta
Yeah ni kawaida yao , tunataka tu uhakika najua huku wajuzi wa siasa za nje wapo wengiHii sio mpya hata 2016 waliweka Trump vs Clinton
Hapo ni mtanange mkali ila yupo atakaeaga pambano ba yupo atakaebeba kombeπ€£π€£ Then baada ya matuta nani atashinda game
Hahaha huyo atakyebeba sasa kombe ndo tunamhitajiHapo ni mtanange mkali ila yupo atakaeaga pambano ba yupo atakaebeba kombe
Trump atashinda kwa kishindo Camara atulie tuKo tupite na kamala?
Watu wataweka mamilioniWakitaka wafirisike waje TZ wafanye hivyo kwenye uchaguzi wetu dhidi ya CCM na Chadema