Mchicha na tangawizi mbichi ndio suluhisho pekee! Achana na viagra!!

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Mwaka jana nilikuwa Turkey katika chuo kikuu cha Istanbul,profesa mmoja anaitwa Majid Shafy alinifundisha kupika mchicha kwa tangawizi,kuwa ni noma kuliko viagra,na ni lishe ya kuipata mara moja kwa mwaka,niliporudi bongo nikaanza kuifanya hii therapy,lol!

NAJUTA kwani mpaka leo siwezi kukaa hata siku moja bila kusex na kila usiku mmoja lazima nipige goli tatu au nne ndio nipate usingizi!! sasa shughuli iliyoje mpenzi wangu akiwa katika hedhi huwa natamani kulia!

NA UZURI WA MBOGA au chakula hiki kinaweza kumfaa hata mwanamke aliyepoteza kabisa shauku na hata wasiopata hedhi,unataka kujua namna ya kuuandaa??
 
duh!!!hebu angusha recipe hapa wengine wafaidi...mchicha ndio mboga yangu ya kila siku 🙂))
 
embu tuambiie namna ya kuandaa mkuu.
 
Sasa hii story ya studio hakuna cha formula
 

mzee fafanua plz, mchicha mwiba ama huu wa kawaida, mchanganyiko wake unakuwaje?, unakunywa supu ama hayo majani yenyewe na tangawizi zake mbichi?, kaaz kwelikweli
 
Wewe tupe recipe kama unataka watu waelimike waache kujiblust na maviagra. Kuleta mada kama hii halafu unachapa mwendo vipi banaaaa
 
AAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mbona mkuu husemi? unachia mambo njiani? sema mchanganyo wake na namna ya kupika tusije pika ikawa sumu sema tujue
 
Mbona umeiacha hewani? mwaga data watu waachane na viagra!
 
Hata mi nilishawahi dokezwa eti mchicha unaofaa ni ule wa kwenye mitaro ya bafu na choo cha uswahilini.

Mkuu ni kweli?
 
Sikujua hili tatizo linawakabili watu wengi namna hii!!!!!!! Hakyanane binti muhamali:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Mbona manapaparika wazeee? au mnaosisitiza muelezwe jinsi ya kuandaa mnamatatizo? au hamjiamini? its better ujiamini ukijiamini unagonga mapaka vitano mpaka asubuhi mie sijawahi kutumia kitu chochote za kuongeza nguvu na daily nagonga not less than three na kuna wakati kabla ya kulala nagonga viwili na asubuhi viwili vya kuunganisha...............
 
jamani kutoa recipe imekuwa ngoma,toa ili uokoe watu manake ndoanyingi zi mashakani
 
macho bado yanaona vizuri kweli? maana nahisi kama vitamini na protin zote unazimaliza mwilini.:focus: ni kweli ukijiamni mbana mambo yote yaenda sawa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…