Mchicha na tangawizi mbichi ndio suluhisho pekee! Achana na viagra!!

Inapikwaje hiii maana utakuwa umewasaidia wengi..
Kina Asprin,RR,Acid ,CBZ,Mfamaji na Teamo ,Fidel80 na wengineo
 
Inapikwaje hiii maana utakuwa umewasaidia wengi..
Kina Asprin,RR,Acid ,CBZ,Mfamaji na Teamo ,Fidel80 na wengineo

FL1...hii dozi ni kwa ajili ya ku-recruit member wapya w ISC....
 

kaka kwani umeambiwa hiyo ni dozi ya TYPHOID????????
 

kama unataka kuwasaidia watu toa fomulla sio unasepa au wewe ni mamluki nini
 
taarifa kilema.
 

Hebu muulize huyo professor wako kama anaweza kututengnezea recipe ya kuamsha bongo ya mtu aliyedumaa kama alivyoweza amasha jogoo lako...yaani kama mtu anapata 20% kwenye mtihani sasa apate 96%
 
...Watu wenye 'Inferiolity Complex' utawajua tu. Kila mara anataka kuwa centre of attraction' hata kama hana lolote. kama huyu...
 
Wadau wa JF, msihangaike.

(i) Kunywa Chai ya majani ya Artemisia.

(ii) Chukua vitunguu swaumu vilivyomenywa kiganja kimoja, twanga. Tia katika chombo. Halafu kamulia malimao mawili, acha mchanganyiko kwa masaa 6 hadi 12.

Then unaweza kunywa na chai ya Rangi au maji ya moto Glass moja.

Kila unapotaka kutengeneza glass moja, anza tena upya na vitunguu swaumu vingine.
 
mbona utoi maelekezo ya uandaaji tufanye test
 
Huyu atakuwa na yeye aliaambiwa lakini jinsi ya kuandaa pia na yeye hakuambiwa.so amechakachua maneno kajipange tena mkuu
 
Wakuu unajua wakati mwingine watu wanapost mataka taka yao kupoteza lengo hivyo ni muhimu pia kama unaona post imekaa sivyo ndivyo jaribu kuangalia status ya aliyepost, kuanzia joining date yake na post alizo post then akili kumkichwa
 
Habarini wadau. tukimngoja kaka kutoa hiyo recipe ya mchicha na tangawizi ngoja niokoe jahazi kidogo. tangawizi kweli ni dawa ya mambo mengi, hsa katika kurudisha nguvu za kiume na kutengeneza yale majimaji yawe na content. kama mnaweza katika mboga na milo mingi itumie tu unaiblend (kuisaga vizuri) na unaungia mboga, wale wenye uwezo hata ukikaa unatafuna si mbaya. kitu kingine kinachorudisha nguvu kwa wale wenye ndoa ambao everyday tunasex...maziwa na asali jioni inasaidia sana. kitu kingine maziwa unamix na machicha ya nazi, yani mamaaa anakuna nazi yale machicha huyakamui kutoa tui vilevile unatia katika glass au kikombe cha maziwa, jamani mtaniambia.

mihogo mibichi jioni ukipiga stiry we tafuna tu ndugu yangu ile myembamba hapa DSM wamama wengi huitembeza katika mabeseni mchanamchana, kama una tumbo zuri tafunia na karanga, wengine huumwa tumbo, ila kwa karanga ndo usiseme bomba sana.

kingine pweza, jamani na vile vijiti uswahilini kula vinne,vitano wengi hutoa na supu bure kamata kibakuli jinywee jioni usiku kama kawa. kwa sasa ni hayo kama mna swali uliza. hivi ni vitu very natural na havina gharama.

ushauri: tupunguze kula kuku wale wa kizungu jamani lol! wanapunguza nguvu za kiume.

asanteni
 

Naona Chuo kikuu cha mtaani kinafanya kazi. Hakuna scientific proof hata moja!
 
Naona kila mtu anatoa lake, na mie ngoja niongeze langu.......jamani pilipili kali, yaani wewe kula tu as much as you can utaona mwenyewe mambo yake,hadi sita kwa usiku mmoja, si mnaona wanaijeria na waghana wanavyozitafuna! th! th! th!
 
Tukimngoja bwana Kalunguine na recipe yake, tangawizi inasaidia katika masuala hayo ya nguvu za kiume/za kike. ukiitia kwenye mlo wowote ni sawa. au hata ukiitafuna. wengine huisaga vizuri na kuichuja unaweka ndimu na pilipili na kula katika chakula vyovyote. na pia itieni katika juice, safi kabisa.

pia kitu kingine kinachosaidia haya mambo ni maziwa fresh na asali kiwango upendacho, au maziwa unachanganya na machicha ya nazi ambayo hayajachujwa kutoa tui.

pia mihogo mibichi ile myembamba inauzwa katika mabeseni na wamama hapa DSM kwengine nadhani sokoni ipo, itafune ile ni mizuri, yani kwa ujumla tujitahidi natural things...kuku wa kienyeji jamani tuache kuku wa kizungu.

kama mmeipenda hiyo, basi toeni comments ili niandike recipe nyengine zaidi ili muache haya maviagra.... kuna natural things zinasaidia sana ndo mana wazee wetu walizaa watoto wengi sana na mpaka wazee sana bado nguvu ipo.
 
Fanya mazoezi ya viungo na pata lishe bora.

Achana na nyama nyekuru, pombe kunywa maji mengi..

Then angalia gemu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…