Mchicha na tangawizi mbichi ndio suluhisho pekee! Achana na viagra!!

Husomi sread na wewe? Jamaa kachemsha. Soma post yangu hapo juu. Duh kila kitu utafuniwe loh

duh, ebwana ndioooo... nmeikubali ya kwako.
mi nlitaka nitafuniwe kabsa nsiangaike kupekua.
 
Inapikwaje hiii maana utakuwa umewasaidia wengi..
Kina Asprin,RR,Acid ,CBZ,Mfamaji na Teamo ,Fidel80 na wengineo
...Mh! Mbona nimesikia hata nyie pia yaweza kuwasaidia endapo mtandao unapatikana kwa shida...😛eep::israel:
 
Sokomoko we nomaa, lazima utakua una natural viagra mwilini, mimi bado kidogo nishindwe kabisa,hiyo recipe ni muhimu kwangu kuliko kitu chochote,tumwagie muzeya.
 
Hajawatendea watu wengi haki kwa kuiacha habari hii hewani.
naona huyu alianzisha tu lakini jinsi ya kumaliza ameshindwa hadi anasaidiwa na wengine wenye elimu angalau ya mambo hayo lakini nasisitiza naye atoe maoni yake kwa kuwa ndiye mwanzisha mada ! la sivyo nitamlaumu tafadhali ajitokeze haraka achangie mada yake hii !
 
siyo siri huyu mwanzisha mada nimemmind kinyama kwani hili jukwaa mimi si mwenyeji ila katika pitapita zangu nikavutiwa na topic nimezama ndani nikajua dawa ya hat trick za mara kwa mara itakuwa imepatikana na kurudisha fomu yangu ya zamani kumbe imekula kwangu...watu perfomance zimeshuka tangu msimu uanze huu yaani mpaka mechi zikiwa mfululizo tunasingizia injury au tunachagua mechi za kucheza....
 
tupe formula jinsi ya kuandaa:lock1::lock1::bump2:😛eace:😛eace:😛eace::fish2:
 
h

masharti magumu kama nini,si bora kuacha mchezo wenyewe sasa
 


hahahaha,mkuu avatar yako huwa inanifurahisha sana na thanks kwa hii kitu
 
tusimlaumu jama labda anagombea na yuko hoi sana
 
huyu jamaa aliyepost hii thread ndo huyu anaomba msaada gonga hapa<a href="https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/152953-sijiskii-utamu.html" target="_blank">https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/152953-sijiskii-utamu.html</a>
<br />
<br
Kumbe jamaa nilipoyoyo tu hlina lolote
 
tusubiri may be alitumia mchicha na tangawizi kwa wingi bado yuko kwenye wakati mgumu
 

Cha ajabu kwenye hii game hakuna anayekubali kwamba ana tatizo au uwezo mdogo. Kila mtu anapenda kuonekana kuwa na uwezo wa juu katika hii fani, japo tunajua kuwa hali halis ni tofauti. Wewe goli tatu " dailly" utakuwa huna kazi nyingine ya kufanya? Au ni kukuruka tu usiku kucha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…