Mchicha na tangawizi mbichi ndio suluhisho pekee! Achana na viagra!!

Wakuu hii mada nilishawahi kuitolea maelezo miezi kadhaa iliyopita,chukua tangawizi mbichi gramu 100 itwange nauweke maji kama nusulita ichemshe mpk ichemke weka mchicha kama fungumoja wacha uchemke nahiyotangawizi badae kulamchicha kiasi nasupu yote yatangawizi mara1 kwasiku kwasiku 5 mfululizo mambo yanakua mazuri,ila zipo aina zingine nikibokokuliko hiyo,nitawawekea siku ingine.

Kalunguinne yuko hoooooi baada ya kutest hiyooo dawa.

Hapi pekundu rekebisha.
Hivi kama huna njaa kwa nini ule. kama sina hamu sina haja ya kutafuta hamu ya sex.

kwani wewe ndo Kalunguine? maana jamaa kaweka mada kapotea mpaka leo

kwani wewe ndo Kalunguine? maana jamaa kaweka mada kapotea mpaka leo

mimi sio kalunguine nimeamua kutoa maelezo baada yakuona mnatakasana kujua ila kalunguine ameingia mitini,tena amedanganya alikua turkey sikweli hiyo stori ipo ktk mtandao nahuyo mturuki aliemtaja yupo ktk hiyo stori.

huyu jamaa aliyepost hii thread ndo huyu anaomba msaada gonga hapahttps://www.jamiiforums.com/jf-doctor/152953-sijiskii-utamu.html

ndugu yangu 'chenge' mficha maradhi mauti humuumbua- tena wala hutakiwi kumdharau mwenzako kwa kutafta tiba

Guys you made my day. Nilikuwa nasikia kuna hili tatizo nikazani ni porojo za mitaani kumbe kweli. I have concluded my research today. Ndio maana waganga siku hizi wanagawa vipeperushi kwa kasi. Ila siamani kama kweli tatizo ni kubwa hivyo nahisi mnataka kuvunja record tu na hamjiamini kama mko powa.

Naona Chuo kikuu cha mtaani kinafanya kazi. Hakuna scientific proof hata moja!
utasubiri sana na hizo scientific proof zako ambazo maabara zipo Vienna au Washington. Sie twapeta tu na traditional proof zetu

Mkuu hiyo kitu nilikuwa siijui aisee! Imekutibu bt imekuachia maumivu makali sana ya kusaka wanawake kila siku duh!

.............ndo maana mchicha umepanda bei,..............

ok tanzanzania mpaka viongozi ni wagonjwa sana marazi aina zote

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…