Habari za Asubuhi.
Samahani, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu anamfahamu mchimbaji mzuri wa kisima cha maji (mpiga kazi + siyo laghai) kwa DSM. Dhumuni langu ni kwanza kufanya survery kujua water table iko urefu gani kwenda chini, kuchimba na kuweka pump.Asanteni.
Obonyo.
Nawashukuruni wote, hasa Candid & Mangi.
Nimepata info niliyokua naitafuta. Kwa faida ya walikuwa wanahitaji pia iko hapa:
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/161275-gharama-ya-kutengeneza-kisima-dar.html.
Obonyo.
Karibu sana Obonyo...
Karibu sana Obonyo...
You very welcome
OBONYO = CANDID SCOPE:lol: