Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali iliyopelekea maandamano huku watu wakidai auwawe.
Nchini Pakistan Madai ya kukufuru yamesababisha maandamano na ghasia za umati. Waandamanaji huko katika jiji la Lahore pia waliandamana Aprili 17, 2023, dhidi ya mwanamke Mwislamu ambaye alikamatwa hivi majuzi kwa mashtaka ya kukufuru baada ya kudaiwa kudai kuwa yeye ni nabii wa Kiislamu.
Mahakama nchini Pakistani imeamuru raia wa China anayeshtakiwa kwa kukufuru awekwe rumande kwa wiki mbili, polisi wamesema. Mwanamume huyo, aliyetambulika kwa jina moja tu la Bw. Tian, katika madai rasmi ya polisi, alikanusha shitaka lililotolewa na wafanyakazi wenzake wakati wa kufikishwa mahakamani katika jiji la Abbotabad Jumatatu jioni.
Endelea kusoma hapa chini:
www.aljazeera.com

Chinese man accused of blasphemy in Pakistan taken into custody
The Chinese national working at a hydropower project denies the allegation levelled by his co-workers.