mchina balaa tupu!

mchina balaa tupu!

Cyprian shayo

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
17
Reaction score
0
umewai kuumizwa ktk mapenz? Wachina wamekulea kifaa maalum cha kuepusha tatizo hilo lisitokee tena maumivu proof.ntazid kuwajuza juu ya hili. Endelea kunifuatilia
 
mmmk kazii kweli kweli , hao wenze2 kweli balaa........... embu endelea ku2juza zaid ndugu.
 
akyamungu....kama ni hivyo watatumaliza

tunajimaliza wenyewe kwani huwa wanamfuata mtu nyumbani kwake au wanakulazimisha kutumia ni ulimbukeni wa maisha ndo unatuponza:lol::lock1:
 
tunajimaliza wenyewe kwani huwa wanamfuata mtu nyumbani kwake au wanakulazimisha kutumia ni ulimbukeni wa maisha ndo unatuponza:lol::lock1:

Nakubaliana nawe
 
Hata sijaelewa hapa haki ya Mungu...........................!
 
Wengine karibu watanza kuabudu wa china.
 
Back
Top Bottom