Mchina ni noma

Mchina ni noma

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Jamani jamani mchina ni noma hapa TZ kashika kila kona ya bidhaa
Mwanzo alianza kwa kuuza madawa asilia sabuni na dawa za mswaki, baadae akaja kwenye gari haswa za kunyoosha magari, akaja na kuleta pikipiki na dawa za kuongeza maumbile ya mwili (hips, wowowo, mbunye, uume n.k) sasa kwa sasa hivi ameshika kila kona kuanzia nguo, mataulo, mashuka, sabuni, dawa za meno, ped, vifaa vya ujenzi, simenti, rangi, vifaa vya electronic, mabasi, magari, viatu, karanga, tambi, ice cream (cone), maziwa ya unga, maji ya chupa, madaftari, kalamu, kompyuta, calculator, vyombo

Halafu bidhaa zao hata hawa-advertise zinajiuza zenyewe na zina soko kinoma nadhani sasa watatuuzia mpaka bastola za kichina hizo za kupigia mkwara tu risasi ikikupata ufi ila mlio ni mkubwa unaweza ukazimia nasikia walizileta sabasaba zikapigwa marufuku
 
sasa tufanyeje na hali tumewaruhusu sisi wenyewe waje kwetu, kwani tuliua viwanda vyetu vyote tumebakia kuuziwa kila kitu na wageni.
 
Ndio maana China imeweza kuondoa watu milioni 300 kutoka kwene umaskini ktk kipindi cha muongo uliopita THANX TO OUR OWN STUPIDITY.
 
mbona hii habari haiendani na malavi davi
 
Back
Top Bottom