Je umeweza kusoma? Kama umeshindwa, usishangae. Hii ni kwa sababu wewe si Mchina.
Ili uweze kusoma: "weke kidole/vidole pembeni mwa macho yako na uyavute kwa nje kuelekea upande yaliko masikio hadi uwe na macho ya Kichina. Hapo utaweza kusoma kilichoandikwa".
Nyingine ni kufanya kama unafumba macho. Hii pia unajifananisha na Mchina.