Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakijawahi kutumika na CCM kama ambavyo inasemwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini badala yake chama hicho kimekuwa mstari wa mbele kusimamia ajenda inazoziamini pale inapoona kuna mambo hayako sawa
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tanzania Bara Isihaka Mchinjita amekanusha madai hayo alipofanya mahojiano maalum na Jambo TV hivi karibuni ambapo ametupa 'jiwe gizani' kwa kudai kuwa baadhi ya vyama vimetoa tunzo ambayo kiini chake hakijulikani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan