ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo;
i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika.
ii. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha mradi kwa faida.
iii. Waziri wa @ortamisemitz ajiuzulu kwa kushindwa kuisimamia DART na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa.
iv. Tunamsihi DPP kufanya uchunguzi wa kijinai kubaini wote waliohusika kuhujumu Mradi wa mabasi ya mwendokasi Dart na kuwafikisha mahakamani.
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo
Isihaka Mchinjita
#RipotiYaCAG
#KaziInaendelea
#KufujaFedhaZaUmma