Mchizi mox ft Ngwair - Demu wangu

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Hawajamaa walikua more than motivational speaker! Walikua wanazungumza mambo ambayo yanagusa na kuibadirisha Jamii in a positive way!

Ukisikiliza nyimbo hii unaona kabisa utofauti wa mahusiano ya wakati huo na wakati wa sasa..

Nani atakubali kwamba huyu demu wangu huku akiwa teyari amewekwa mimba nowdays!

R.I.P mchizi wa East zoo! Ma ngwair

 
Hawa jamaa niliwahi sikia waliingia kwenye bifu la kugombea wimbo wa mikasi, sijui iliishaje ile bifu?
 
daah,ngwair kawahi sana kisepa wallah,hii ngoma walijibizana kibabe,mm ukiniuliza nani alifunikwa kwny hii ngoma jibu sina,kweli mziki halisi wa bongo ulikuwa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…