Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwataka wanaharakati walioko ndani na nje ya nchi kutambua kuwa siasa hazipaswi kujengwa katika uadui, hasa wakati wa misiba.
Amesema anapongeza hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoa pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, akisisitiza kuwa msiba si jambo la kusherehekea wala kufurahia.
Aidha, Mchome amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuwa na uhusiano usioeleweka na baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai namna alivyopata pasipoti yake kupitia mawasiliano na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa inapaswa kuibua maswali ndani ya chama.
Mchome amewataka wanaharakati kutazama kwa umakini suala hilo na kuacha kumshambulia Godbless Lema, akisema mjadala unaopaswa kujikita zaidi ni tuhuma dhidi ya Heche na namna zinavyoweza kuathiri umoja na mustakabali wa CHADEMA.
View attachment 3669706
ok. MchomeMwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwataka wanaharakati walioko ndani na nje ya nchi kutambua kuwa siasa hazipaswi kujengwa katika uadui, hasa wakati wa misiba.
Amesema anapongeza hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoa pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, akisisitiza kuwa msiba si jambo la kusherehekea wala kufurahia.
Aidha, Mchome amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuwa na uhusiano usioeleweka na baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai namna alivyopata pasipoti yake kupitia mawasiliano na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa inapaswa kuibua maswali ndani ya chama.
Mchome amewataka wanaharakati kutazama kwa umakini suala hilo na kuacha kumshambulia Godbless Lema, akisema mjadala unaopaswa kujikita zaidi ni tuhuma dhidi ya Heche na namna zinavyoweza kuathiri umoja na mustakabali wa CHADEMA.
View attachment 3669706
huenda alifukuzwa uanachama wa chama chako gentleman, right?🐒Huyu alishafukuzwa Uanachama
Akili za ccm shida Sana, yaani machinery za state zote wanashindwa ku de stabilize chama cha siasa! Na hizi ndio mbinu wanazotumia kuiua chadema!Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwataka wanaharakati walioko ndani na nje ya nchi kutambua kuwa siasa hazipaswi kujengwa katika uadui, hasa wakati wa misiba.
Amesema anapongeza hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoa pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, akisisitiza kuwa msiba si jambo la kusherehekea wala kufurahia.
Aidha, Mchome amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuwa na uhusiano usioeleweka na baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai namna alivyopata pasipoti yake kupitia mawasiliano na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa inapaswa kuibua maswali ndani ya chama.
Mchome amewataka wanaharakati kutazama kwa umakini suala hilo na kuacha kumshambulia Godbless Lema, akisema mjadala unaopaswa kujikita zaidi ni tuhuma dhidi ya Heche na namna zinavyoweza kuathiri umoja na mustakabali wa CHADEMA.
View attachment 3669706
Online Royal TV ni akaunti iliyokuwa ya Chadema waliondoka nayo waasi wa Chadema G55 walio Chaumma ndio wanaompa airtime nyingi Mchome.Huyu kwanini anatambulishwa kama Mwenyekiti wa Chama wilaya, wakati ashatolewa?
The opposite is not falseMwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwataka wanaharakati walioko ndani na nje ya nchi kutambua kuwa siasa hazipaswi kujengwa katika uadui, hasa wakati wa misiba.
Amesema anapongeza hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoa pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, akisisitiza kuwa msiba si jambo la kusherehekea wala kufurahia.
Aidha, Mchome amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuwa na uhusiano usioeleweka na baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai namna alivyopata pasipoti yake kupitia mawasiliano na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa inapaswa kuibua maswali ndani ya chama.
Mchome amewataka wanaharakati kutazama kwa umakini suala hilo na kuacha kumshambulia Godbless Lema, akisema mjadala unaopaswa kujikita zaidi ni tuhuma dhidi ya Heche na namna zinavyoweza kuathiri umoja na mustakabali wa CHADEMA.
View attachment 3669706
La tone tone limebuma anakuja na singo nyingine sijui Kama anawashauli huyu muchomwa nyumaMwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.
Mchome amesema amesikitishwa na mashambulizi yanayoendelea mitandaoni dhidi ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwataka wanaharakati walioko ndani na nje ya nchi kutambua kuwa siasa hazipaswi kujengwa katika uadui, hasa wakati wa misiba.
Amesema anapongeza hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoa pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, akisisitiza kuwa msiba si jambo la kusherehekea wala kufurahia.
Aidha, Mchome amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuwa na uhusiano usioeleweka na baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai namna alivyopata pasipoti yake kupitia mawasiliano na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa inapaswa kuibua maswali ndani ya chama.
Mchome amewataka wanaharakati kutazama kwa umakini suala hilo na kuacha kumshambulia Godbless Lema, akisema mjadala unaopaswa kujikita zaidi ni tuhuma dhidi ya Heche na namna zinavyoweza kuathiri umoja na mustakabali wa CHADEMA.
View attachment 3669706
Chama Cha mamako ndio kilimuacha ili mpangishiwe apartments mpigwe miti.huenda alifukuzwa uanachama wa chama chako gentleman, right?🐒
Wapigwa miti wa msajiriMchome yuko sahihi
Mchome ni pandikizi, fukuza takataka. ErythrocyteMwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo zinakidhoofisha chama.