Mchome: Heche ni pandikizi la CCM ndani ya CHADEMA, yupo kwa ajili ya kutuvuruga


Si ndiye huyu alyekuwa anapokea check kutoka kwa Masajili mwaka jana. Bado hawajamvua uanachama tu...!?
 
Kimada wa msajili anaongea na ukuta halafu anasema ndugu waandishi wa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…