Mchomvu kaondoka Clouds Fm?!

Mchomvu kaondoka Clouds Fm?!

Ngonepi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
1,872
Reaction score
1,207
Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.

Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!

Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.
 
We bhana unaboa sasa! Hujayamaliza ya Millard Ayo na umeshayarukia ya Mchomvu!! Bila shaka, thread yako itakayofuata ni kuulizia "tetesi" za Barbara Hassan kuacha kazi Clouds!
 
Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.

Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!

Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.

Wewe endelea kusikiliza redio za huko kwenu nyalugusu radio za dar na mambo ya dar tuachie wenyewe ..hayakuhusu na sio level zako!
 
Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.

Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!

Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.
Ni kweli,kaja kukamatia fulsa hapo Dom kwenu,lakini wewe ujiandae kutupwa nje ya mji huko.
 
Makonda anaposema anataka kutambua wasio na ajira ana maana hiyo........
 
Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.

Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!

Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.
Hamna kitu km icho tupo nae mjengoni hapa bado ana mkataba n clouds
 
Kwa kutangaza yuko uzuri lakini kwa kuchana si sana!!
 
Back
Top Bottom