Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.
Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!
Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.
Ni kweli,kaja kukamatia fulsa hapo Dom kwenu,lakini wewe ujiandae kutupwa nje ya mji huko.Nikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.
Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!
Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.
Hamna kitu km icho tupo nae mjengoni hapa bado ana mkataba n cloudsNikiwa kichupa kidoogo jana nimemsikia mtu kama Adam Mchomvu akitangaza Times Fm.
Muishio Dar zinakosikika kwa uzuri hizi maredio ni kweli jamaa kasepa!!
Ikiwa ni kweli naona Clouds ikizidi kuporomoka maana kwamimi mshkaji ni mmojawapo wa waliokuwa wanaweza kunifanya niendelee kuisikiliza.
ila muwe mnamwambia avute bangi kias mda mwingine huw anaongea maneno kama ya ney wa mitego anakera pia kutangaza huku akichana anaboa mziki hauwez ila ni mtangazaji mzurHamna kitu km icho tupo nae mjengoni hapa bado ana mkataba n clouds
Hahahah astaafu kufanya mziki tuila muwe mnamwambia avute bangi kias mda mwingine huw anaongea maneno kama ya ney wa mitego anakera pia kutangaza huku akichana anaboa mziki hauwez ila ni mtangazaji mzur
jamaa anatoaga nyimbo mbovu nyimbo yamwisho ilikuw inaitw aeiou astaafu tuHahahah astaafu kufanya mziki tu
unajua maana ya rap katuni?jamaa anatoaga nyimbo mbovu nyimbo yamwisho ilikuw inaitw aeiou astaafu tu