Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua.

Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni.

Mchizi nilikuwa bado blue pilled kwenye masuala ya mapenzi. Huyu binti wangu wa kwanza kutoka mtaa wa pili alinifanya nione mapenzi ni muhimu kuliko future yangu.

Wahuni wakasepa zao, baadae ndo akili ilinikaa sawa!
 
Mimi nilipiga chini offer ya kwenda kuishi ulaya kwa miaka kumi,sababu kubwa nilitamani ku hustler na kumiliki uchumi wangu binafsi nikiwa hapa hapa bongo.offer ilitoka kwa aliyekuwa girlfriend wangu kutoka pande za huko ng’ambo.
 
Nilipata nafas ya kwenda koz jeshin lakin mpenz wangu akaniambia mi nataka kuoa mwl,nikaenda kusomea ualimu nikiwa bado nipo mwaka wa kwanza akaniacha eti sijui kukata kiuno kwa bed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si ungeacha chuo na kurudi jeshini, mbona hukua umechelewa bado.
 
Nilikataa kwenda kusoma South Africa, kisa mchumba angu alinambia km nikienda bas simpendi na tuachane, ko nikaamua kubaki hapa hapa.
 
Nilipata nafas ya kwenda koz jeshin lakin mpenz wangu akaniambia mi nataka kuoa mwl,nikaenda kusomea ualimu nikiwa bado nipo mwaka wa kwanza akaniacha eti sijui kukata kiuno kwa bed
Una matukio sio mchezo
 
Nilipata nafas ya kwenda koz jeshin lakin mpenz wangu akaniambia mi nataka kuoa mwl,nikaenda kusomea ualimu nikiwa bado nipo mwaka wa kwanza akaniacha eti sijui kukata kiuno kwa bed
Duh! [emoji1787][emoji1787]Aiseee mshauri wangu bhna!!
 
Nilipata nafas ya kwenda koz jeshin lakin mpenz wangu akaniambia mi nataka kuoa mwl,nikaenda kusomea ualimu nikiwa bado nipo mwaka wa kwanza akaniacha eti sijui kukata kiuno kwa bed
Mlikua hamjashonana bado ikabidi atangaze ndoa ili apate tunda. Mlivyoshonana akaiona hiyo kama kasoro?

Bro Amiri anasema hapendi mwanamke mchakarikaji on bed yeye anapenda mwanamke anayeugulia na kutoa sauti za kuhamasisha
 
Afu viuno vya kujilazimisha havinogagi mbona,viuno huja automatically kwa mwanamke akizidiwa na hamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si ungeacha chuo na kurudi jeshini, mbona hukua umechelewa bado.
Ada zenyewe za kulipiwa na single mom,angeniua ningeacha.Ameangaika sana kunisomesha huyu mama
 
Back
Top Bottom