Mchongo wa pesa kitaani.

Mchongo wa pesa kitaani.

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
338
Reaction score
683
Oya wahuni mambo ni aje !? Mie leo naandika kihuni unajua kwanini? Kwakua nimeamua kuingia mtaani kuzisaka mia Mia, jero jero na buku buku.

Oya wakuu nimejifunza kitu kimoja kwa maisha ya mtaani hasa kwa wadau wanao fanya bishara / ujasiliamari mitaani.

Kitu pekee nilicho gundua ukitaka kukusanya pesa kwa urahisi fanya biashara na akina mama, fanya biashara ambazo kwa asilimia kubwa wateja wake ni akina Mama,

Unajua kwanini? Wanawake wengi huachiwa Kodi ya meza na akina baba, katka Kodi ya meza kuna ki Mia ngapi hapo ambacho mwanamke huki-save ili anunue kitu flan.

Katika huduma/ bidhaa zako hakikisha soko lako limetarget wanawake katika ujasiliamari wako.

Ni hivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri Kujua Ni Biashara Zipi Hizo?
 
Ukitaka kuwa tajiri fanya biashara inayowagusa wanaume katika mambo ya msingi ambayo wanaume huyaona eg Magari , vifaa vya ujenzi , n.k Ila ukitaka usikose pesa fanya biashara inayowagusa wanawake japo unatakiwa kuwa makini make hapo kifo nje nje ....
 
Ujasiliamari unafaa zaid kama ukiwalenga wanawake, utajiri unafaa zaid kama ukifanya biashara kwa kila mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kutaja aina ya biashara na kamfano kidogo .... mhuni hiyo itakuwa ni stori moooooo arifu
 
Back
Top Bottom