Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

Huyo jamaa yaani hata Wakenya wachache wanajua ni Mtanzania, kuna siku gazeti ilikua nikinunua nafungua ukurasa wa katuni zake ndio baadaye nisome mengine. Afu mchokozi sana, anaachokonoa kote kote hebu ona hii picha hapa


Nakusoma sana mkuu!
 
Huyo jamaa yaani hata Wakenya wachache wanajua ni Mtanzania, kuna siku gazeti ilikua nikinunua nafungua ukurasa wa katuni zake ndio baadaye nisome mengine. Afu mchokozi sana, anaachokonoa kote kote hebu ona hii picha hapa

GADO ni Mtanzania ndugu. Aliondoka nchini baada ya kuchora katuni ya Kikwete jamaa wakamkalia kooni.
 
Maiti inaongea walahi
Gado na kizazi chake wana laana ya ya milele walahi
Kibaraka wa wadhungu walahi
 

Mama umekuja na huku??? Hahahah wew kweli una laana na kizazi chako, kama huna basi laana ikupate kama unavyoombea wenzako
 
Kipanya mnafiki sana..

Hadi kwenye breakfast hua akifika mahali pa serikali anaruka hatoi hata maoni....such a woman!

Gado yupo Kenya anawapandia Wakenya huko huko bila kuogopa,na Kenya walivyo wauaji the guy cruises!
sasa mbona mikingamo tena? Kwa hiyo ni mnafiki au ni jasiri?
 
sasa mbona mikingamo tena? Kwa hiyo ni mnafiki au ni jasiri?

Mkuu mikingamo hakuna mbona.....

Ulivyo-bold mbona vipo sawia mzee au unasomaje?

"Mnafiki sana" mbona ni synonymous na "such a woman" au wewe unatumia nini kuelewa mambo?...

Maana ni kama nimem-downgrade,thats the whole meaning...

Sidhani kama nimekingama mahala!
 

I guess I was too optimistic. Nikadhani ni mimi nimekosea kuwa umemdhalilisha mwanamke kwa kumuita mnafiki. Hata hivyo majibu yako kwenye uzi huu yanajidhihirisha bayana.

Isiwe tabu, nitaishia hapa maana hakuna haja ya kuendeleza mjadala na binadamu asiyejitambua.
 

Noooooo

Mzee unakosea..sijamdhalilisha mwanamke!

Ni mwanaume nimemwita mwanamke....nikiwa na lengo kua tabia za mwanamke nimezihamishia kwa huyu mwanaume anaitwa Masudi

Ni the same kama mwanamke ukamwita mwanaume....yaani tabia za mwanaume umemhamishia huyo mwanamke!

Kusema kua umemdhalilisha mwanamke si sawa maana nimefanya kuhamisha tabia zake figuratively kwa mwanaume!

Wewe kwenye ubongo wako tayari ushaweka ngazi kua mwanaume ni bora zaidi ya mwanamke..It is not my problem,it is your problem wired into your head!
 
Wewe unaweza kumchamba Jiwe?au vile upo humu kujificha?Mazingira tuliyonayo sio yakumlaumu MTU nakumuona mdhaifu .Hali ni mbaya sana kila mmoja anafanya kwa tahadhari
Umenena kweli kabisa mkuu hakuna mtu anayependa kupotea hata kabuli lisiwepo Masoud anajitahidi mno kwa mazingira tuliyonayo kwa sasa
 
We jamaa unasema tu,hukumbuki Masoud walimteka unajua walimpa maonyo gani......lkn pia kumbuka kuna watu walishatekwa mmekemea mara ngapi hao watu wamerudi au hata maiti zao mmeziona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…