Mchoraji maarufu

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
John Sanga alikuwa mchoraji mzuri sana wa picha...siku moja akachora picha ya noti 10,000 kwenye sakafu ya darasa!...

Mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua alipokuwa anaikimbilia ile noti aiokote...

Alipouliza nani kachora wakamtaja John...ikabidi hapo hapo ampigie baba yake (Mzee Sanga) kumshitaki mwanae...

Sanga akiwa Hospitali akajibu..."Unabahati sana wewe, huyo mbwa jana nyumbani kachora uchi wa mwanamke kwenye soketi ya umeme"[emoji35][emoji35]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] . huyo mtoto noma
 
Mzee senga katisha, katupia dudu kwenye umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…