Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Mar 12, 2013 #1 Mods naomba hii isiunganishwe na thread moja inayoendelea; reason ni kwamba ile imeshapoteza attention ya watu kwani ule mchoro ulikuwa na rangi rangi sana, sijui jamaa aliutoa wapi.
Mods naomba hii isiunganishwe na thread moja inayoendelea; reason ni kwamba ile imeshapoteza attention ya watu kwani ule mchoro ulikuwa na rangi rangi sana, sijui jamaa aliutoa wapi.
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Apr 16, 2013 #2 mbona anafanana na mzenj yoyote
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,074 Reaction score 3,743 Apr 16, 2013 #3 Wameua walivyochora kavaa na kibaraghashia
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Apr 22, 2013 #4 thread imepitwa na wakati, na kesi ilikwisha malizika, mtuhumiwa alikwisha chinjiwa baharini.
Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Apr 25, 2013 #6 Nan kamchora. Je wameshindwa kupata picha halisi au hajawahi kupiga hata passport ya vitambulisho?
M Mwanagenzi JF-Expert Member Joined Sep 11, 2006 Posts 738 Reaction score 273 Apr 25, 2013 #7 Huyo jamaa amewahi kuishi Lindi?