L ldleo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 1,116 Reaction score 1,121 Jul 13, 2022 #1 Mchoro wa ubunifu uliounganishwa na mazingira ya kijiji ulichorwa kwenye ukuta wa nje wa makazi ya watu katika kijiji cha Lingjiao, Beijing, China.
Mchoro wa ubunifu uliounganishwa na mazingira ya kijiji ulichorwa kwenye ukuta wa nje wa makazi ya watu katika kijiji cha Lingjiao, Beijing, China.
lee Vladimir cleef JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 9,571 Reaction score 35,475 Jul 13, 2022 #2 Aaaaah safi sana hii. Mwanakijiji unaweza kujichnganya na kudhani uko downtown.
VMWare-Oracle JF-Expert Member Joined Dec 19, 2021 Posts 667 Reaction score 917 Jul 13, 2022 #3 ldleo said: Mchoro wa ubunifu uliounganishwa na mazingira ya kijiji ulichorwa kwenye ukuta wa nje wa makazi ya watu katika kijiji cha Lingjiao, Beijing, China. View attachment 2288760 View attachment 2288761 View attachment 2288762View attachment 2288763 Click to expand... Yani hapa ndiyo Kijijini,duhh.Nikiwaza nyumba zetu za udongo...
ldleo said: Mchoro wa ubunifu uliounganishwa na mazingira ya kijiji ulichorwa kwenye ukuta wa nje wa makazi ya watu katika kijiji cha Lingjiao, Beijing, China. View attachment 2288760 View attachment 2288761 View attachment 2288762View attachment 2288763 Click to expand... Yani hapa ndiyo Kijijini,duhh.Nikiwaza nyumba zetu za udongo...
Juuchini JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 1,644 Reaction score 2,300 Jul 13, 2022 #4 Kama hapo ndo kijijini sijui bonyokwa kunaitwaje? Introvert_007 said: Yani hapa ndiyo Kijijini,duhh.Nikiwaza nyumba zetu za udongo... Click to expand...
Kama hapo ndo kijijini sijui bonyokwa kunaitwaje? Introvert_007 said: Yani hapa ndiyo Kijijini,duhh.Nikiwaza nyumba zetu za udongo... Click to expand...