Mchubuo wamzalishia talaka Bi harusi...

sijaielewa, mchubuowa bi harusi ndio nini

awp anachubua uso wake ili aonekane mweupe wakati yeye mweuzi tii.................na alikuwa akijichubua uso na baadhi ya sehemu za wazi za mikono na miggu lakini sehemu nyinginezo akiziachia kuendelea na rangi yake asilia...................
 
Last edited by a moderator:
Kyaiyembe ni ndoa hiyo kwenye ukristu kuoana siyo lazima mfinyangane siku au wiki hiyohiyo..............wakati mwingine mazingira yanawabana mjizuie...tena inakubalika zaidi kama mm'eamua kufunga hilo swala............lol
Kumbe Obama na Cameroon wanaweza kuwa wamepatia!.
Alafu kweli ndoa ni zaidi ya hilo maana pastor alikerwa na mchubuo japo nadhani alikuwa bado kufinyangana naye.
Ndiyo maana akashauriwa hivi;
"momatta8 June 2012 12:10 PMi suggest the pastor to find out if she is really a woman; Tha pastor might have married a man who pretends to be a female.....take her panties off"
 
Rutashubanyuma inaeleke huijui mikorogo ilivyo na hiyana, sehemu zingine inadunda hata uchubue vipi..
Halafu kwenye Ukristu hakuna talaka.....lol
 
Last edited by a moderator:
Utafanya nini kama ukiolewa na mtu Jogoo Hawiki? acha talaka ya uzinifu aliyoruhusu YESU

Kujitosa mazima?
Hiyo itabidi tuende kwa Baba Paroko kupata kwanza ushauri wa kiroho....ukishafikia hatua ya Ndoa ina maana mko serious sana kwahiyo hilo ni suala la kuhangaika nalo tu
 
Wote Mchungaji na Kondoo wake walisoma kitabu kimoja tu katika BIBLIA nzima "WIMBO ULIO BORA".
Hivyo mengine kuhusu mahusiano katika BIBLIA hayakuwahusu!

Kyaiyembe kama ni hivyo basi huyo mchungaji yupo pale kujipatia mkate wa kila siku tu........
 
Last edited by a moderator:
Kujitosa mazima?
Hiyo itabidi tuende kwa Baba Paroko kupata kwanza ushauri wa kiroho....ukishafikia hatua ya Ndoa ina maana mko serious sana kwahiyo hilo ni suala la kuhangaika nalo tu

[MENTION]lemonade[/MENTION] we ndege mjanja sana.....baba paroko atafanya jogoo liwike?
 
Rutashubanyuma inaeleke huijui mikorogo ilivyo na hiyana, sehemu zingine inadunda hata uchubue vipi..
Halafu kwenye Ukristu hakuna talaka.....lol

Kyaiyembe mkorogo huo ambao siyo mwili mzima naona ndiyo ulileta tabu labda hakuwa na mfadhili wa kumwezesha ajikoroge mwili wote na mchungaji angelidhani kaoa mzungu hivi.....na suala la kumwacha mke kwa wakristu halipo sasa sijui huu ni ukristu wa wapi na ukizinatia baba paroko anadai naye ni mchunga kondoo............kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira.....
 
Last edited by a moderator:

Kwahiyo Kyaiyembe unaonaje tukmimkokota hadi kichinjioni tu kule akafunzwe adabu huyu mbabaishaji..........
 
Last edited by a moderator:
[MENTION]lemonade[/MENTION] we ndege mjanja sana.....baba paroko atafanya jogoo liwike?

ruta tatizo linakuja tayari uko kwenye ndoa....huwezi kukimbia cheaply kihivyo you take it head on si ni until death do you part? Hasa hapo maongozi ya kiroho yanahitajika...
 
Last edited by a moderator:
ummu kulthum au ni kusakazie huyo mchungaji nini yuko Kenya............na sasa hivi boma lake liko tupu tu......
subiri kwanza nijifunze karate af ntakupm ili akinilete za kuleta nampa full mkong'oto upo hapo rutashubanyuma

subiri kwanza nijifunze karate af ntakupm ili akinilete za kuleta nampa full mkong'oto upo hapo rutashubanyuma

ummu kulthum karate za nini na wewe una nguvu zile za asilia......zitumie kumwonyesha ya kuwa kwako ndiyo bureki yake.............hana pakutokea pale.
 
Last edited by a moderator:
ruta tatizo linakuja tayari uko kwenye ndoa....huwezi kukimbia cheaply kihivyo you take it head on si ni until death do you part? Hasa hapo maongozi ya kiroho yanahitajika...

Elizabeth Dominic .easier said than done in real life.................people look for easier ways out and forget spiritual diktats.........
 
Last edited by a moderator:
yeye alioa bila kujua anatatizo gani? huku ndio kujaribu jehanam hakutakiwa kufanya hivyo ila alitakiwa kuoa ndoa za msimu ili awe anatest kuona kama jogoo anawika nje ya hapo ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…