Mchubuo wamzalishia talaka Bi harusi...

Huo ni ushahidi dada yangu!. Ndoa yenyewe inakuwa bado kutimizwa.

ndoa siyo lazima itimizwe kitandani bali ni makubaliano ya kuishi nyote..........for better or for worse..................in most cases we vow in vain because when the real tests come along we falter miserably.......... Kyaiyembe
 
Last edited by a moderator:
haha ,mchungaji katoa talaka

wahida modogo wangu kaa chonjo na hawa wachungaji kazi yao ni kumendea-mendea vifaranga kama wewe khalafu huvitia majaribuni na baada kuvikimbiza kichinjioni na baada ya kuvitafuna huvitafutia sababu ya kuvimwaga.......
 
Last edited by a moderator:
Huo ni ushahidi dada yangu!. Ndoa yenyewe inakuwa bado kutimizwa.

jogoo laweza kuwika na kufanya machahari yake yote na bado isiwe ni ndoa kama hajakubalina kuishi pamoja............ Kyaiyembe
 
Last edited by a moderator:
yeye alioa bila kujua anatatizo gani? huku ndio kujaribu jehanam hakutakiwa kufanya hivyo ila alitakiwa kuoa ndoa za msimu ili awe anatest kuona kama jogoo anawika nje ya hapo ni aibu

Mwanaweja hivi tatizo ni jogoo hawiki au bi harusi kajidunika ndani ya mkorogo
 
Last edited by a moderator:
ndoa siyo lazima itimizwe kitandani bali ni makubaliano ya kuishi nyote..........for better or for worse..................in most cases we vow in vain because when the real tests come along we falter miserably.......... Kyaiyembe
Ruta unasemea ndoa nje ya misisngi ya UKRISTO na UUMBAJI.
Sijawahi kusikia watu waliofanya tendo la ndoa kanisani au msikitini.
Hata kimila wazee wetu walikuwa nautaratibu mzuri kuhusu ndoa.
Nijuavyo mimi ndoa ni makubaliano ya wawili waishi kama mke na mme!
Sasa sijui kama unaelewa maana ya kuwa mke wa, na kuwa mme wa.
Ruta katika kauli hizo hapo juu lazima kuwepo na kitendo maalmu.
Na ikitokea mmojawapo akalalamika kuwa tendo hilo halifanyiki NDOA ubatilishwa!.

 
Kyaiyembe mwenzetu haya ya majogoo kuwika wayatoa wapi....nijuavyo ndoa ni kukubalina kuishi pamoja kw mazuri hata mabaya kama ya hayo majogoo yasiyowika........
Hata hizo za Uingereza, Marekani Afrika Kusini na kwingineko lazima kuna neno " I pronounce you HUSBAND and WIFE"
Sasa ruta hata uwe BUSHOKE lakini jogoo lazima likwee mtungi bwana!.
 
mhhh????????? We ruta mie jana nimefumaniwa embu nipigie mistari hapo.
 
jogoo laweza kuwika na kufanya machahari yake yote na bado isiwe ni ndoa kama hajakubalina kuishi pamoja............ Kyaiyembe
Na likiwika wanao shuhudia watasema kuwa wahusika wamafanya tendo la ndoa!.
Sasa katika suala la huyu mchungaji, yeye hana sababu za msingi kutengua makubaliano yake ya kuwa na ndoa.
Lakini bado nasisitiza kama ni kweli hawakutimiza tendo la ndoa, basi ndoa yao ilikuwa bado kutimia!.
 
Lemonade ni kweli bi harusi alikuwa akikimbia mechi kwa kuhofia asije julikana yeye ni tetracycline..........sura ni nyingine na kiwiliwili ni sura nyingine.....................lakini alikuja kutiwa kitanzini
Rutashubanyuma kuna dada mmoja ameolewa na 0.5 yeye alikuwa mweusi kama lami looo ametumia mkorogo amefanana na mumewe usoni tatizo akivaa malapa ukimwangalia vidole vya miguu unapata mshangao
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kumbe huku ndiyo uwa unajificha mambo yakibana kule jukwaa la siasa
 

Kyaiyembe ukweli ni kuwa mnapooana hamsemi kuwa mnakwenda kudu..........hay ni matunda yake na tena siyo yote.............mkishindwa kwa sababu ya kimaumbile siyo sababu ya kuachana.

Hizo ndizo kafara zenyewe............until death us apart..............the Scriptures say
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kumbe huku ndiyo uwa unajificha mambo yakibana kule jukwaa la siasa

mharakati mie niko kila mahali.....lol ..kila jukwaa utanikuta sichagui................kwani kule kwenye JS kuna kubanwa kule au kubanana?
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma kuna dada mmoja ameolewa na 0.5 yeye alikuwa mweusi kama lami looo ametumia mkorogo amefanana na mumewe usoni tatizo akivaa malapa ukimwangalia vidole vya miguu unapata mshangao

Blaki Womani " na 0.5" ndiyo nini ? Sijaelewa maana yake.................khalafu huyu mdada wa ajabu mume tayari anaye na kwani alikuwa hajui rangi yake.......................sasa hii khofu ya kujichubua yatoka wapi. Uzoefu wangu ni kuwa unapohangaika kutafuta rangi au maumbile tofauti ya yale uliyonayo unakhoji busara za Muumba kukupa alichoona ndicho stahili yako........na matokeo yake unachafua kazi murua ya maumbile yako. Khadi leo ninatafuta mchubuo mwenye mvuto kulikoni alivyokuwa awali bado sijakutana naye................am still searching, though............na sitarajii kukutana naye.
 
Last edited by a moderator:
Samahani nisaidie kidogo, nipe tofauti ya ndoa hizi!
1.Ndoa ya mwanamke na mwanamme
2.Ndoa ya Mwanamme kwa mwanamme
3.Ndoa ya Mwanamke kwa mawnamke
Najua nyingine haziko wazi katika mazingira yetu lakini kutokana uelewa ulionao waweza nisaidia!.
 

shombeshombe.....hahahahah anataka wakitoka wote naye aonekane shombe wa kigiriki
 
Ila hata siku hizi si vijana mnapapatikia mikorogo? Na ndiyo maana mabinti wengi wa kileo wanapaka mikorogo class (creams) na ile ya mafuta ya transfoma na jiki!!!! Kweli tabu sana, inaeleke ndiyo wimbi kuwa weupe ndo unapendwa so ni kwa nini wasiwahadae? Na mzazi unapoona binti yako anaanza kubadilika sura ni kwa nini usimuase? Elezea watoto wako madhara ya mikorogo tangu wakiwa wadogo na wakikuwa hawatapaka kamwe. Parents play your role.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…