shombeshombe.....hahahahah anataka wakitoka wote naye aonekane shombe wa kigiriki
Samahani nisaidie kidogo, nipe tofauti ya ndoa hizi!
1.Ndoa ya mwanamke na mwanamme
2.Ndoa ya Mwanamme kwa mwanamme
3.Ndoa ya Mwanamke kwa mawnamke
Najua nyingine haziko wazi katika mazingira yetu lakini kutokana uelewa ulionao waweza nisaidia!.
Ila hata siku hizi si vijana mnapapatikia mikorogo? Na ndiyo maana mabinti wengi wa kileo wanapaka mikorogo class (creams) na ile ya mafuta ya transfoma na jiki!!!! Kweli tabu sana, inaeleke ndiyo wimbi kuwa weupe ndo unapendwa so ni kwa nini wasiwahadae? Na mzazi unapoona binti yako anaanza kubadilika sura ni kwa nini usimuase? Elezea watoto wako madhara ya mikorogo tangu wakiwa wadogo na wakikuwa hawatapaka kamwe. Parents play your role.
Yes to enjoy (marriage) as you have mentioned!, But the difference between them is the source of it!.Kyaiyembe hayo mengineyo yanatoka wapi....from beginning He created them man and a woman...............because He intended them to live happily thereafter.........