Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
MCHUJO UCHAGUZI MKUU TFF

Wakati majina 73 yakipita katika hatua ya awali,mgombea tishio Ali Mayai amepita kihunzi hicho. Mwanasoka Ali Mayai wamekuwa akiiundiwa mazengwe na timu ya fitna ya Malinzi ambayo imekosa sababu za kuendelea uongozini.

Kamati ya Uchaguzi ya TFF imechuja jina la Abdallah Mussa katika orodha ya wagombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi ujao wa shirikisho. Sababu za kukata jina la Mussa ambaye alikuwa anawania nafasi ya Ujumbe kutoka Kanda Na. 1 ya mikoa ya Kagera na Geita ni kutoambatanisha kivuli cha cheti cha kidato cha nne kwa mujibu wa kanuni ya 9 inayozungumzia sifa nane za kuwania uongozi TFF. Katika majina hayo 73, majina 10 ni wale wanaowania urais, makamu rais sita na wajumbe wa kamati ya utendaji 57.

Wagombea wote hapo juu wanatakiwa kufika kwenye usaili utakaofanyika kuanzia Juni 29, 2017 hadi Julai 1, mwaka huu katika ofisi za TFF Karume, Dar es Salaam kuanzia saa 4.00 asubuhi wakiwa na nyaraka halisi za viambatisho vyote walivyoweka kwenye fomu za maombi. Vyeti vya elimu ya Sekondari viwe vya Baraza la Mitihani (NECTA
 
Kw upande wangu malinzi apishe na mwenzie wajaribu!
 
Kw upande wangu malinzi apishe na mwenzie wajaribu!
TFF sio sehemu ya majaribio...soka letu sio panya wa maabara. Malinzi ameshauthibitishia umma kuwa anao uwezo wa kuhakikisha soka linapigwa uwanjani na si mezani. Na sasa anaenda kupiga hatua ya pili
 
TFF sio sehemu ya majaribio...soka letu sio panya wa maabara. Malinzi ameshauthibitishia umma kuwa anao uwezo wa kuhakikisha soka linapigwa uwanjani na si mezani. Na sasa anaenda kupiga hatua ya pili
Alivyotoka tenga Fifa tulikua nafasi ya ngapi na sasa tupo nafasi ya ngapi?
Narudia tena malinzi hafai kuendelea
 
Malinzi aendelee tu .... tuangalie mipango yake ya awamu ya pili ana aendeleze ya awamu ya kwanza
 
Back
Top Bottom