Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kura za maoni ndani ya CCM ndio hasa mwanzo wa kuwapata Rais wa nchi, wabunge na madiwani wa maeneo mbalimbali nchini.
Ndio uchaguzi ambao unakuaga na mchuano mkali zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe ambao mara zote hua ni katika kukamilisha tu ratiba, sheria na matakwa ya kikatiba, lakini uchaguzi wenyewe unakua tayari umefanyika ndani ya CCM.
CCM imeshakamilisha maandalizi ya uchaguzi mkuu kwa zaidi ya 60 miezi 7 kabla ya uchaguzi wenyewe. Surely, kuna chama kinaweza kuambulia chochote mbele ya CCM imara na makini kama hii ya Dr Samia Suluhu Hassan, na hawajajiandaa kwa chochote kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025?
Tafadhali, kama Taifa,
Inafaa kwa pamoja tujiandae kushuhudia mchakato bora kabisa wa kura za maoni ndani ya CCM, ambao ndio hasa utakao amua mustakabali mwema wa Taifa letu.🐒
Mungu Ibariki Tanzania