Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa kupita
Wengi hata vyama vya upinzani wanashangaa mbona kama uchaguzi wa nani agombee serikali ya mtaa utafikiri uchaguzi mkuu wakati ni wagombea tu wanatafutwa ndani ya chama kupeperusha bendera ya CCM tu?
Uchaguzi wa ndani ni mkali mno kuliko uchaguzi wenyewe.CCM huwa tuko very serious akipita mtu ujue kapita kihalali.
Soma Pia:
Sio kama vyama vingine mtu anaamua tu fulani mgombea