Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

Kama mnaishi pamoja anakosea Sana kukunyima , ndoa ni makubaliano yenu wawili Kama mlikubaliana kuishi pamoja iweje leo ageuke? Ningemuona yupo sahihi kama angehimiza ndoa ili kuhalalisha.

Ushauri wangu kwako Kama kweli unampenda fanya taratibu za ndoa
 
Nikuulize swali uyo mlokole umemuoa?
 
Nikuulize swali uyo mlokole umemuoa?
Na Kama umemuoa nieleweshe hamna ulokole mbele ya mapenzi maana hata Mungu ameumba mapenzi na yeye lengo la kuolewa ni moja tu , au kanisani huwa hawafundishwi hvy , ulokole unaishia kanisani, mfundishe kuishi kulingana na mazingira, ajue kuishi na mume vp na katekista vipi
 
Mbona hujafunguka vizuri,yaani amekupa sababu gani inayomzuia yeye msifanye huo uasherati? na je amekupa sharti gani la wewe kulitekeleza ili aweze kukuvulia chupi?
by the way huyo msichana amekuwa na tabia mzuri.ukimuacha huyo umepoteza mke sahihi.sababu huyo anaoneka amebeba hofu ya Mungu,na kujiheshimu zaidi.na huyo mchepuko unayefurahia naye atakuletea kilio muda siyo mrefu
 
mh usije kuta kuna muumini mwenzake anakula kilainii coz wanawak akili zao zinawatosha wenyewe…..
 
Ulokole muda mwingine ni nusu uendawazimu.
 
Bro cha kufanya huyo mkeo anadokoa dokoa huko kwa nabii kwa sababu ya uwepo wako na kwa mwendo huo kama ujuavyo vya kudokoa huwa ni vitam na ngumu kuviacha , sasa njia pekee msukume aende mazima ili ale ashibe huko kwa nabii ili uone janja yake kama atakaa hata mwezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…