Mchumba anahitajika

Miss hael

Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
65
Reaction score
109
Habari wanakundi, Mimi ni binti wa miaka 29, naishi dar.

Mimi ni wakawaida kabisa,
Mrefu kiasi,
Maji ya kunde,
Mkristo(SDA)
Sijasoma sana,
Asili yangu ni kanda ya ziwa,


NATAMANI NIKUTANE NA HUYU MWANAUME.

1. Anayemcha Mungu na awe
Mkristo
2. Asiwe Mme wa mtu,
3. Awe na umri kuanzia 31-36
4. Asiyetumia pombe wala
kilevi chochote
5. Asiyependa kwenda club
wala starehe za namna
hiyo,
6. Mtafutaji,
7. Muwazi na asiyependa
kuweka vitu rohoni
 
Nipo hapa nakuja huko PM kuona namna.

Wanangu wa KATAA NDOA mnivumilie kwa muda kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baba bhooke! Tangu tumeingia humu ndani unaniraaambaraamba tuuu, nit....mbe turaare!
 
Ebu funga PM...[emoji39] umesha nipata mchumba, vigezo vyote ninavyo na pombe nineacha jana baada ya kuona huu uzi...[emoji847]
Oyaau mkuu demu YUPO dar wewe upo humu ushirombo utamfuata au atakufuata!? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe hujiamini!
 
Mjoli wa Bwana Kuwa, makini si salama sana humu ndani

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
SDA (Wasabato) wengi wanatokea Kanda ya Ziwa
Sijui nilitaka kusemaje; Anyaway Mimi sina sifa hata moja kati ya izo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…